Waandaa meza mbele yangu,Machoni pa watesi wangu.Umenipaka mafuta kichwani pangu,Na kikombe changu kinafurika.