Mungu wangu, Mungu wangu,Mbona umeniacha?Mbona U mbali na wokovu wangu,Na maneno ya kuugua kwangu?