Zab. 21:3-6 Swahili Union Version (SUV)

3. Maana umemsogezea baraka za heri,Umemvika taji ya dhahabu safi kichwani pake.

4. Alikuomba uhai, ukampa,Muda mrefu wa siku nyingi, milele na milele.

5. Utukufu wake ni mkuu kwa wokovu wako,Heshima na adhama waweka juu yake.

6. Maana umemfanya kuwa baraka za milele,Wamfurahisha kwa furaha ya uso wako.

Zab. 21