BWANA, ni nani atakayekaaKatika hema yako?Ni nani atakayefanya maskani yakeKatika kilima chako kitakatifu?