Zab. 138:5-7 Swahili Union Version (SUV)

5. Naam, wataziimba njia za BWANA,Kwa maana utukufu wa BWANA ni mkuu.

6. Ingawa BWANA yuko juu, amwona mnyenyekevu,Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali.

7. Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha,Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu,Na mkono wako wa kuume utaniokoa.

Zab. 138