Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha,Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu,Na mkono wako wa kuume utaniokoa.