Ulimi wangu na ugandamaneNa kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka.Nisipoikuza YerusalemuZaidi ya furaha yangu iliyo kuu.