Ni kama mafuta mazuri kichwani,Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni,Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.