Wanao wakiyashika maagano yangu,Na shuhuda nitakazowafundisha;Watoto wao nao wataketiKatika kiti chako cha enzi milele.