BWANA amemwapia Daudi neno la kweli,Hatarudi nyuma akalihalifu,Baadhi ya wazao wa mwili wakoNitawaweka katika kiti chako cha enzi.