Zab. 132:1-2 Swahili Union Version (SUV) BWANA, umkumbukie DaudiTaabu zake zote alizotaabika. Ndiye aliyemwapia BWANA,Akaweka nadhiri kwa Shujaa wa Yakobo.