Ee BWANA, Mungu wangu, uangalie, uniitikie;Uyatie nuru macho yangu,Nisije nikalala usingizi wa mauti.