Hata lini nifanye mashauri nafsini mwangu,Nikihuzunika moyoni mchana kutwa?Hata lini adui yangu atukuke juu yangu?