Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko,Na ulimi wetu kelele za furaha.Ndipo waliposema katika mataifa,BWANA amewatendea mambo makuu.