Kwa maana fimbo ya udhalimuHaitakaa juu ya fungu la wenye haki;Wenye haki wasije wakainyoshaMikono yao kwenye upotovu.