Zab. 122:1-3 Swahili Union Version (SUV) Nalifurahi waliponiambia,Na twende nyumbani kwa BWANA. Miguu yetu imesimamaNdani ya malango yako, Ee Yerusalemu.