Ole wangu mimi!Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki;Na kufanya maskani yanguKatikati ya hema za Kedari.