Maneno ya BWANA ni maneno safi,Ni fedha iliyojaribiwa kalibuni juu ya nchi;Iliyosafishwa mara saba.