Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge,Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji,Sasa nitasimama, asema BWANA,Nitamweka salama yeye wanayemfyonya.