Zab. 117:1-1 Swahili Union Version (SUV)

1. Haleluya.Enyi mataifa yote, msifuni BWANA,Enyi watu wote, mhimidini.

Zab. 117