Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi,Hao wakae nami.Yeye aendaye katika njia kamilifu,Ndiye atakayenitumikia.