Yos. 2:23 Swahili Union Version (SUV)

Kisha wale watu wakarudi, wakatelemka mlimani, wakavuka, wakamwendea Yoshua, mwana wa Nuni, nao wakamwambia habari za mambo yote yaliyowapata.

Yos. 2

Yos. 2:18-24