Yos. 2:22 Swahili Union Version (SUV)

Watu hao wakaenda, wakafika mlimani, wakakaa huko siku tatu, hata wale waliowafuatia walipokuwa wamerudi; na wale waliowafuatia wakawafuatia katika njia ile yote, lakini hawakuwaona.

Yos. 2

Yos. 2:21-24