Yoe. 1:15 Swahili Union Version (SUV)

Ole wake siku hii!Kwa maana siku ya BWANA inakaribia, nayo itakuja kama uangamivu utokao kwake aliye Mwenyezi.

Yoe. 1

Yoe. 1:11-20