Takaseni saumu, iteni kusanyiko la dini,Wazee na wakusanye wenyeji wote wa nchi;Waende nyumbani kwa BWANA, Mungu wenu,Na kumlilia BWANA,