Kwa maana mwenye kuangamiza amefika kwake;Naam, amefika Babeli;Na mashujaa wake wametwaliwa;Pinde zao zimevunjika kabisa;Maana BWANA ni Mungu wa kisasi;Hakika yake yeye atalipa.