Maana BWANA amwangamiza Babeli,Na kuikomesha sauti kuu ndani yake;Na mawimbi yake yavuma kama maji mengi,Mshindo wa sauti zao wafanya makelele;