Tarishi mmoja atapiga mbio kumlaki mwingine,Na mjumbe mmoja atapiga mbio kumlaki mwenziwe,Ili kumpasha habari mfalme wa Babeli,Ya kuwa mji wake umetwaliwa kila upande.