Mashujaa wa Babeli wameacha kupigana;Wanakaa katika ngome zao;Ushujaa wao umewapungukia;Wamekuwa kama wanawake;Makao yake yameteketea;Makomeo yake yamevunjika.