Mshindo utafika hata mwisho wa dunia;Maana BWANA ana mashindano na mataifa,Atateta na watu wote wenye mwili;Na waovu atawatoa wauawe kwa upanga; asema BWANA.