Yer. 25:30 Swahili Union Version (SUV)

Basi, tabiri wewe maneno haya yote juu yao, na kuwaambia,BWANA atanguruma toka juu,Naye atatoa sauti yake toka patakatifu pake;Atanguruma sana juu ya zizi lake;Atapiga kelele kama mtu akanyagaye zabibu,Juu ya wenyeji wote wa dunia.

Yer. 25

Yer. 25:29-34