Miji ya Negebu imefungwa malango yake,wala hapana mtu wa kuyafungua;Yuda amechukuliwa hali ya kufungwa;amechukuliwa kabisa hali ya kufungwa.