Mwambie mfalme, na mama ya mfalme,Nyenyekeeni na kuketi chini;Kwa maana vilemba vyenu vimeshuka,naam, taji ya utukufu wenu.