Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo,Wala mito haiwezi kuuzamisha;Kama mtu angetoa badala ya upendoMali yote ya nyumbani mwake,Angedharauliwa kabisa.