Ni nani huyu apandaye kutoka nyikani,Akimtegemea mpendwa wake?Nalikuamsha chini ya huo mpera;Huko mama yako alikuonea utungu,Aliona utungu aliyekuzaa.