Na kinywa chako kama divai iliyo bora,Kwa mpendwa wangu inashuka taratibu,Ikitiririka midomoni mwao walalao.