Nilisema, Nitapanda huo mtende,Na kuyashika makuti yake.Maziwa yako na yawe kama vichala vya mzabibu,Na harufu ya pumzi yako kama mapera;