Kichwa chako juu yako ni kama Karmeli,Na nywele za kichwa chako kama urujuani,Mfalme amenaswa na mashungu yake.