Shingo yako ni kama huo mnara wa pembe;Macho yako kama viziwa vya Heshboni,Karibu na mlango wa Beth-rabi;Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni,Unaoelekea Dameski;