Nalishukia bustani ya milozi,Ili kuyatazama machipuko ya bondeni;Nione kama mzabibu umechanua,Kama mikomamanga imetoa maua.