Wim. 5:1 Swahili Union Version (SUV)

Naingia bustanini mwangu, umbu langu, bibi arusi,Nachuma manemane yangu na rihani,Nala sega la asali na asali yangu,Nanywa divai yangu na maziwa.Kaleni, rafiki zangu, kanyweni,Naam, nyweni sana, wapendwa wangu.

Wim. 5

Wim. 5:1-4