Hata jua lipunge, na vivuli vikimbie,Nitakwenda kwenye mlima wa manemane,Na kwenye kilima cha ubani.