Nikasema, Haya, niondoke nizunguke mjini,Katika njia zake na viwanjani,Nimtafute mpendwa wa nafsi yangu.Nikamtafuta, nisimpate.