Hua wangu, mafichoni mwa jabali,Katika sitara za magenge,Nitazame uso wako, nisikie sauti yako,Maana sauti yako ni tamu na uso wako mzuri.