Mtini wapevusha tini zake,Na mizabibu inachanua,Inatoa harufu yake nzuri;Ondoka, mpenzi wangu, mzuri wangu, uje zako.