Nivute nyuma yako, na tukimbie;Mfalme ameniingiza vyumbani mwake.Tutafurahi na kukushangilia;Tutazinena pambaja zako kuliko divai;Ndiyo, ina haki wakupende.