Ufu. 3:5 Swahili Union Version (SUV)

Yeye ashindaye atavikwa hivyo mavazi meupe, wala sitalifuta kamwe jina lake katika kitabu cha uzima, nami nitalikiri jina lake mbele za Baba yangu, na mbele ya malaika zake.

Ufu. 3

Ufu. 3:1-10