Ufu. 3:4 Swahili Union Version (SUV)

Lakini unayo majina machache katika Sardi, watu wasioyatia mavazi yao uchafu. Nao watakwenda pamoja nami hali wamevaa mavazi meupe, kwa kuwa wamestahili.

Ufu. 3

Ufu. 3:2-13