Ufu. 20:9 Swahili Union Version (SUV)

Wakapanda juu ya upana wa nchi, wakaizingira kambi ya watakatifu, na mji huo uliopendwa. Moto ukashuka kutoka mbinguni, ukawala.

Ufu. 20

Ufu. 20:1-10