Ufu. 20:10 Swahili Union Version (SUV)

Na yule Ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele.

Ufu. 20

Ufu. 20:7-15